Kutoka ute mweupe kwenye uume

Kutoka ute mweupe kwenye uume

Pole kaka, siku hizi ukiuza mechi jiandae kulia maana kuna gono, U.T.I mara clamydia n.k na ukiona umepata mojawapo basi lazima UKIMWI upo njiani.TUMIA KONDOM
 
gono hilo vidonge huponi kuna sindano mbili tu kwisha hivo vidonge tupa kabisa
 
Wadau nmeenda phamacy wamenipa dawa zinaitwa leocef capsules ngoja nianze dozi

Ndugu, siamini kama itakutibu, tumia siproflaxin na doxilin 2*2 kwa siku saba ikidunda choma cristapen, kwa kuwa ww ni mara ya kwanza vidonge vitakutibu, pia zingatia uzito wako
 
Kama upo dar nenda kar koo mtaa wa lumumba kwa dr.koya anadawa kali sana kwa magonjwa ya ngono kwa me/ke..kama upo mkoa ni vyema ukamuona dakital upate vipimo usimeze dawa bila vipomo, dawa hizo zinakuwaga na nguvu sana pasipo vipimo unaweza ukaumia
 
Ndugu, siamini kama itakutibu, tumia siproflaxin na doxilin 2*2 kwa siku saba ikidunda choma cristapen, kwa kuwa ww ni mara ya kwanza vidonge vitakutibu, pia zingatia uzito wako

Ndugu usirudie tena kuandika prescription namna hii,, unaweza sababisha matatizo makubwa. Sasa kama kuandika majina tu ya dawa hufahamu,, unachokitibu unakijua kweli? Hizi ni afya za watu jamani, sio uwanja wa majaribio hivyo tutoe ushauri kulingana na uelewa wetu na utaalam.

Mfano, mimi nadhani huu ugonjwa ni gonorrhea,, hivyo namshauri huyu ndugu afike hospitali kwa ajili ya uchunguzi na tiba sahihi.
 
mkuu umenena huko pharmacy kafata nini why asiende hospital??
anaona aibu kutibiwa wakati hakuona aibu kuvua nguo?? awahi hospital haraka
 
Ndugu usirudie tena kuandika prescription namna hii,, unaweza sababisha matatizo makubwa. Sasa kama kuandika majina tu ya dawa hufahamu,, unachokitibu unakijua kweli? Hizi ni afya za watu jamani, sio uwanja wa majaribio hivyo tutoe ushauri kulingana na uelewa wetu na utaalam.

Mfano, mimi nadhani huu ugonjwa ni gonorrhea,, hivyo namshauri huyu ndugu afike hospitali kwa ajili ya uchunguzi na tiba sahihi.

well said mkuu, alafu nasikitika hamna mtu aliyemshauri aambatane na huyo mwanamke ili wakatibiwe wote kwa lengo la kuutokomeza huo ugonjwa
 
Wanajamvi toka nmejamiiana na mdada mmoja naona ute mweupe mzito unatoka kwenye uume na wakati wa kukojoa mkojo unauma unapotoka je ugonjwa gani na nitumie vidonge gani ili nipone naomba msaada

Nahisi umepata Gonorrhea,nenda hospital to confirm
 
Tupe marejesho, Baada ya kutumia hizo dawa za Leocef Capsules ulizopewa duka la dawa, Je hilo gono limepona?? Nakushauri nenda hospital pia Pima na ukimwi!!
 
Back
Top Bottom