Kutoka Uturuki: Friendly Match, Simba SC yaichapa F.C.E Ksaifa mabao 3-1

Mbona uwanja kama wa gymkhana
 
Gongowazi na Clouds FM msibadilishe matokeo. Simba hii ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Ndiyo Ninavizia Hivi NdalaFC na CloudsFM Kama Hawajatangaza SimbSC kafungwa Goli 6
😀😀😀
 
Kasome gazeti la Dimba....serikali yako imefanya figisu bila hivyo Yanga ingechukua ubingwa miaka 10 mfululizo...Manji kachukizwa na Jerry Muro kuomba msaada kwa MO..anaweka mezani 60 billions ...itakuwa timu tajiri kupita zote ukanda huu
 
Endeleeni kuota ndoto na kujifariji. Huenda mkaepusha vifo visivyokuwa na lazima..Kanjibai..Kanjibai..Kanjibai[emoji3][emoji3][emoji3]
 
anaweka mezani 60 billions ...itakuwa timu tajiri kupita zote ukanda huu

Umeanza kushabikia lini mpira?Au umesahau hiyo ilikuwa ahadi ya Manji wakati ameanza kuwalea pale Yanga? Aliahidi klabu tishio barani Afrika na uwanja wa kisasa, je kafanya hivyo?
 
Kasome gazeti la Dimba....serikali yako imefanya figisu bila hivyo Yanga ingechukua ubingwa miaka 10 mfululizo...Manji kachukizwa na Jerry Muro kuomba msaada kwa MO..anaweka mezani 60 billions ...itakuwa timu tajiri kupita zote ukanda huu
Billion 60 za zimbabwe au...? Vyura safari hii kazi mnayo kwa kikosi chenu na njaa mliyonayo mnahitaji sana maombi, kuna siku mtakuja kugomewa na wachezaji.....badilikeni
 
Nimeangalia ligi ya Morocco hii timu sijaiona hata daraja la pili, itakuwa walicheza na wahudumu wa hotel
 
Risala ya marehemu. Ambapo kwa sasa hakuna nafasi...pole sana

Halafu hapo kwenye hizo rekodi zako uchwara nimeangalia nimeona Simba SC, Azam FC, sasa Yanga haina SC wala FC wala LTD mnashughulika na nini? Au wale Vyura [emoji196][emoji196]wanaofugwa pale bwawani? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimeangalia ligi ya Morocco hii timu sijaiona hata daraja la pili, itakuwa walicheza na wahudumu wa hotel
Lakini wadhamini wa mchezo huo walikuwa Gormahia 7up [emoji3][emoji3]
 
Simba bhana! ni sawa na kumpiga mlevi kisha utambe kwa wenzako! Bora ya azam wanaojifua na timu za Uganda kama nawaelewa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…