OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uko vizuri. Siko TV wala redio nakupata vizuri10' Biashara wanacheza eneo la upande wao wakijaribu kupenya ngome ya Simba SC chini ya Wawa na Kennedy Wilson
Biashara Utd 0-0 Simba SC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizuri. Siko TV wala redio nakupata vizuri10' Biashara wanacheza eneo la upande wao wakijaribu kupenya ngome ya Simba SC chini ya Wawa na Kennedy Wilson
Biashara Utd 0-0 Simba SC
Wameshashinda. Ila wameshinda njaakila la heri biashara united
Muamala fc, msipotupa chetu mpaka halftime hatuchukui tena
Sio karbu we sema tu nyerere ni ndugu yko. SHAME ON YOUMara ni home tena ndani ndani karibu na kwa kina Mwl Nyerere
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]30' Anakwenda Kagereeee anapiga goo laaaaaaaa ilikuwa hatari..!