Kutoka Uwanja Karume: Vodacom Premier League 'VPL' Biashara United Vs Simba SC

45'+3' Miraji alijaribu kuwatoka mabeki wa Biashara lakini mpira unatoka nje ni wa kurushwa..!
 
Inamaana kwenye msimamo wa ligi Yanga ni ya mwisho? Hata kama ina viporo?
 
Ndemla,hayo mashuti yako!
ila dogo nakuheshimu Sana,tangu siku I'll ulipotawala Dimba ,na Simba kuwazisha magoli 3,dhidi ya Yanga!Sijui ingekuwaje siku Ile!
 
45+3'

Wakati wowote mpira utakuwa mapumziko uwanja wa Karume

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira ni mapumziko, ambapo Simba SC wapo mbele kwa goli moja lililowekwa kimiani na Maddie Kagere dakika ya 22 za mchezo

Biashara United 0-1 Simba SC
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Karume..ikiwa zinakwenda dakika 47

Biashara wamekuja na nguvu kama kipindi cha kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…