Ewaaaaaaaas53' Goooooooooooooooooooaaal Gooooooooooaaall...Miraji Athumani anaipatia simba bao la pili
Ilikuwa free kick iliyopigwa Ibrahim Ajibuu na kumkuta Miraji ambaye aliunganisha kwa Kichwa
Biashara Utd 0-2 Simba SC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto nyoko huyo
Huyu miraji amesajiliwa toka tim gani?Okwi anaipata habari ya Miraji Madenge huko alipo
PLD= played
GD= goal difference
Alianzia simba akaenda lipul akarud homeLipuli FC..!
Ewaaaaaaaas
Umeskika mama kaoshe nani!mnavionea hivyo vitimu vidogo vidogo, subirini mkutane na timu ya wananchi YANGA YA KIMATAIFA mtapokea kichapo cha mbwa mwizi
LipuliHuyu miraji amesajiliwa toka tim gani?
Katokea lipuli fc!! Japo ni zao la seleman matola, simba BHuyu miraji amesajiliwa toka tim gani?
mnavionea hivyo vitimu vidogo vidogo, subirini mkutane na timu ya wananchi YANGA YA KIMATAIFA mtapokea kichapo cha mbwa mwizi