Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwani Yanga ana point ngapi?
😆😆 hili jamaa vipi yaani niwe na undugu na kaffir ili iweje never ever.....Sio karbu we sema tu nyerere ni ndugu yko. SHAME ON YOU
0Kwani Yanga ana point ngapi?
Hizi ndio habari tunataka kusikia hadi mwishoMpira umekwisha, Simba 2-0 Biashara. Simba anaibuka kidedea kwa kupata goli 2 na pointi 3.wafungaji wa magoli M Kagere na Miraji Athumani.viva Simba
Alisikika mlevi mmoja akisemaLini umepta Papuchi mara ya mwisho?
[emoji23][emoji23][emoji23] Huu msemo sikuuona ligi ilipo ishaAlisikika mlevi mmoja akisema
Nyie level yenu wazee wampapaso ruvu shooting na masau bwiremnavionea hivyo vitimu vidogo vidogo, subirini mkutane na timu ya wananchi YANGA YA KIMATAIFA mtapokea kichapo cha mbwa mwizi
0 na ndio ya mwisho kwenye msimamo baada ya kupapadwa na Ruvu ShootingKwani Yanga ana point ngapi?
Msimu wa mwaka Jana walilalamika Simba wana viporo vingi, Sasa mwaka huu na wao viporo ndo Kama hivyo chati inavyojionyesha. Kama walikuwa wanachukulia poa viporo Basi tutaonana na wao malalamiko fc.