Kutoka Uwanja Karume: Vodacom Premier League 'VPL' Biashara United Vs Simba SC

Kutoka Uwanja Karume: Vodacom Premier League 'VPL' Biashara United Vs Simba SC

90+4'

kuelekea kumalizika kwa mchezo Uwanja wa Karume Stadium mjini Musoma, hii ni VPL

Naaaaaaaaaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu dhidi ya Biashara United

Mabao yakiwekwa kimiani na Maddie Kagere dakika ya 23' na Miraji Athumani dakika ya 55

Kwa matokeo hayo Simba wanasalia kileleni kwa kukusanya alama 12 kufuatia kushinda mechi 4..!

Biashara United 0-2 Simba SC
 
1569777040191.png
 
Big ups...!! wachezaji Simba Sports.mkimaliza gemu na points 3 ndo mwanzo wa kusaka zingine 3. Huu mwenendo unawapa pressure kubwa sana wapinzani,Halafu unahanikiza furaha isiyo kifani kwetu sisi mashabiki.Kule walipo hawa vyura tuliwapeka sie hata wao wanajua kuwa kule wanazuga tu.. .!!
 
Back
Top Bottom