Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mbeya City leo wako nyumbani uwanja Sokoine jijini Mbeya kumenyana na vinara wa ligi kuu vijana wa Jangwani Yanga.

Yanga inasaka record kuwa timu ya kwanza katika ligi ya Tanzania kufikisha points 50 kwa michezo michache zaidi yaani michezo 18.

Mpaka sasa Yanga imecheza michezo 17 na kujikusanyia points 47 huku Mbeya City ikicheza michezo 17 na kujikusanyia points 23 wakishika nafasi ya 8.

Mbeya city imeahidi kumaliza mwaka 2018 kwa kishindo cha ushindi wakiwa nyumbani.

Wapinzani wa karibu wa Yanga kilele nao watakuwa Morogoro uwanja Manungu kupepetana Mtibwa Sugar wakisaka ushindi kupunguza gap baina yao na Yanga.

48976760_1242092325957006_2587967264720420864_n.jpeg


48375973_1242053859294186_7861822689118257152_n~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ya Wananchi. Utashangaa hata watani zetu wanawahi kufungua live update ya Yanga lakini si ya Mikia.
 
Kikosi Cha Yanga kinachoanza Leo

1. Ramadhan Kabwili
2.Paul Geophey
3.Gadiel Michael
4.Abdallah Haji
5.Kelvin Yondan
6.Feisal Salum Fei toto
7.Ibrahim Ajibu
8.Haruna Moshi *Boban*
9.Hertier Makambo
10.Amissi Tambwe
11.Mrisho Ngassa
Akiba:-
-Klaus Kindoki
-Juma Abdul
-Cleophas Sospeter
- Deus Kaseke
-Pius Buswita
-Jafari Mohamed
49397710_2533274160048435_5305385268944044032_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom