Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Naona Swahiba brave one umeanza mapeeema. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haijalishi lakini.
Kila la kheri kwa chama langu Yanga iwe jua iwe mvua niko nayo tu. Game ngumu ila najua matokeo tutayapata.

"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Tusubiri tuone Swahiba.
Kabisa yaani.
Unachokifikiria kipi Swahiba?
Hahahaha, utanipa Matokeo Mtani/Rafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom