Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Naona Swahiba brave one umeanza mapeeema. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haijalishi lakini.
Kila la kheri kwa chama langu Yanga iwe jua iwe mvua niko nayo tu. Game ngumu ila najua matokeo tutayapata.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Tusubiri tuone Swahiba.
Kabisa yaani.
Hahahaha, utanipa Matokeo Mtani/RafikiUnachokifikiria kipi Swahiba?
Sent using Jamii Forums mobile app