Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
We baki hapo hapo. Eti upepo. Teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We baki hapo hapo. Eti upepo. Teh teh
Nasubiria sana mbumbumbu fcPoint tatu nyingine muhimu. Azam keshalambwa huko Manunga.
Saa moja watani zetu uwanjani.
Naona ushaanza kutupeleka Kimataifa. 😂😂😂😂😂 bahati, mkienda mikoani yote fyekelea mbali. 😂😂😂Yanga wanabahatisha Sana yaani wakienda kimataifa kwa timu hi hate round ya Kwanza hawavuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ijayo anzisha tena live update Yanga ipate point tatu!Yanga wanabahatisha Sana yaani wakienda kimataifa kwa timu hi hate round ya Kwanza hawavuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kapigwa Viwili.Point tatu nyingine muhimu. Azam keshalambwa huko Manunga.
Saa moja watani zetu uwanjani.
Ndo tunaendelea hivyo mkuu na bahati zetu.Yanga wanabahatisha Sana yaani wakienda kimataifa kwa timu hi hate round ya Kwanza hawavuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana bahati sana huyu jamaa. Aanzishage tena tuondoke na ushindi. 😂😂Mechi ijayo anzisha tena live update Yanga ipate point tatu!
Kwanini iwe Yanga tu kila wakati inabahatisha?Jaribu kuangalia msimamo wa ligiYanga wanabahatisha Sana yaani wakienda kimataifa kwa timu hi hate round ya Kwanza hawavuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Swaiba we huoni timu inavyocheza na hizi butua butuaNaona ushaanza kutupeleka Kimataifa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati, mkienda mikoani yote fyekelea mbali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha atupe bahati tusiangalie shombo zakeAna bahati sana huyu jamaa. Aanzishage tena tuondoke na ushindi. 😂😂
😂😂😂😂Katiluuu bin yaliluu Yanga noma
Mikia sufuri al ahly sabaa
Alisikika mtangazaji wa ki egypty kupitia bien sport tv
Mkuu Hapa timu hunaNdo tunaendelea hivyo mkuu na bahati zetu.
Bakini na nuksi zetu kwa singida
Upande wa pili wengine wako mortuary kwa wivu
Hakika MkuuAcha atupe bahati tusiangalie shombo zake