DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
Ktk ligi hii nani anaongoza mkuu?
[emoji2] [emoji2] ni kweli lakini kwa sasa tusizungumzie hilo.Yanga wanabahatisha Sana yaani wakienda kimataifa kwa timu hi hate round ya Kwanza hawavuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Niseme tu kwenye msimamo butua butua haina nafasi. Wacha tukusanye point hayo mengine tutajuana mbele ya safari.Swaiba we huoni timu inavyocheza na hizi butua butua
Azam nao wameniaribia siku wanafungwa vipi na Mtibwa sukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaaaa. Kweli kabisa usemalo.[emoji2] [emoji2] ni kweli lakini kwa sasa tusizungumzie hilo.
Unaongoza kwenye shule ya kata Nekta unafeliKtk ligi hii nani anaongoza mkuu?
Hahahaa. Kweli unateseka Brave.Ni aibu Yanga wakiwa bingwa kwa timu hi ligi ya Tanzania ipo chini Sana daaaah
Yaani timi hi inacheza mechi 18 Bila kufungwa unbelievable
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi nzuri sanaAzam wamefungwa kwa Mara ya Kwanza msimu huu
Mtibwa sugar 2 Azam 0
Sent using Jamii Forums mobile app
πππUpande wa pili wengine wako mortuary kwa wivu
Siteseki mkuu Mimi natoa uchambuzi Kama mchambuzi nguli wa sokaHahahaa. Kweli unateseka Brave.
Hatari sanaaaaa. Semeni sasa [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Hahahaaaaa. Aumiage tu [emoji126][emoji126][emoji126]
We baki hapo hapo. Eti upepo. Teh teh
Naona ushaanza kutupeleka Kimataifa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bahati, mkienda mikoani yote fyekelea mbali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kapigwa Viwili.
Ana bahati sana huyu jamaa. Aanzishage tena tuondoke na ushindi. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ama kweli we Yanga Damu ,Daima Mbele ,Nyuma MwikoHakika Mkuu
Hahahaaa. Mtaniiii. Mi Yanga damu kweli.ππππ NYUMA MWIKO HASWAAAA YAANI MBELE KWA MBELE.Ama kweli we Yanga Damu ,Daima Mbele ,Nyuma Mwiko
Mpaka sasa najifikiria ni aina gani ya zawadi inakufaa hasa kuhusu mpira
Wanipa raha weye na timu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
We hajawahi kuona mtu wa Kwanza Nekta anafeli mtu wa 6 anafauluHalafu anayeongozwa kwenye shule ya kata huwa zwazwa.
Aaah. Waaapi.
Tunaosubiri Klabu Bingwa, timu kubwa kubwa kama Al Ahly tunakoment wapi?
Ni aibu Yanga wakiwa bingwa kwa timu hi ligi ya Tanzania ipo chini Sana daaaah
Yaani timi hi inacheza mechi 18 Bila kufungwa unbelievable
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.
Naona umefurahi Leo meno thelathina na nje yote mbiliAaah. Waaapi.