[emoji23][emoji23]mbona unapenda kufukua makaburiKama lile la kwa mashujaa ama? [emoji41]
ππ haya bana Swahiba. Zamu yenu sasa.[emoji23][emoji23]mbona unapenda kufukua makaburi
Au
Umesahau kauli mbiu " Daima mbele nyuma mwiko".
Sent using Jamii Forums mobile app
MΔ·uu vipi upepo wa matokeo ya yanga mechi za mikoani mpaka sasa
Makambo 2 - 1 MbeΓ½a ciΕ₯yMatokeo vipi?
Mkuu kwenye mbele weka mbere kama ile jpm kuonyesha msisitizo unatembea kifua mbere kweri kweriSasa natembea kifua mbele na point 50 kwa michezo 18.
Mikia poleni bhandugu
HahahahahaMkuu kwenye mbele waka mbere kama ile jpm kuonyesha msisitizo unatembea kifua mbere kweri kweri
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Hii ndo post bora ya kimbumbumbu ya kufungia mwaka. Nani aliyekuambia bingwa wa ligi ya Zambia ni lazima akutane na bingwa wa ligi ya Tanzania?! Kuna watu mlikuwa mnambeza Rage ila si mmejionea wenyewe?!Naombea mwaka huu Yanga ichukue ubingwa halafu kule Zambia Nkana naona wachukue halafu wake wakutane mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Mafisi Fc Wanasubiri Yanga adondoshe alama tatu ili wao waziokote na kumfariji mropokaji waoBeno hawezi kurudi Yanga...Yanga huwa haibembelezi mchezaji...Yanga iliwahi kufukuza wachezaji wote 28 + na ikaanza upya...huwezi kuwa na mchezaji mamluki na anayeonyesha wazi umamluki wake...meneja wake ni Simba, kwanini Yana wasiamini kuwa meneja wake ndiye aliyemtuma Beno asusie timu kama ndiyo mkakati wa kuihujumu Yanga...Beno akirudi Yanga nitatoka mafichoni kwenda Yanga kuhakikisha uamuzi huo unatenguliwa.....
Nimeangalia goli tulilofungwa nimegundua Kabwili yuko vizuri isipokuwa anakosa uzoefu. Ile cross alikuwa na nafasi ya kutokea na kupunch ule mpira.Umuhimu wa Beno Kakolanya leo umeonekana. Je, anahitaji kurudi kweli?
Ni kweli mkuu lkn kakolanya ni samaki aliyeoza. Kumwacha kwenye tena na samaki wengine kungeleta shida ndani ya tenga zima.Nimeangalia goli tulilofungwa nimegundua Kabwili yuko vizuri isipokuwa anakosa uzoefu. Ile cross alikuwa na nafasi ya kutokea na kupunch ule mpira.
Bado sina imani nae sana japo ni vizuri anavyopata nafasi kila siku atazidi kuimarika. Ila kumpanga huyu kwenye mechi zenye presha kubwa ni kumtafutia lawama zinazoepukika na inaweza kumuondolea kujiamini kabisa.
Utaelewa tuu ifikapo January mwishoniHii timu hata inavyoshinda mimi bado sielewi !
π‘π‘π‘ hiyo mechi ilishapita banaKama lile la kwa mashujaa ama? π
Mtakaporudiana na Simba haka ka msemo katabadilika kawe kinyume chake Shadeeya ,tusiandikie mateNYUMA MWIKO HASWAAAA YAANI MBELE KWA MBELE.
Mngekuwa mnajua mpira mngefungwa na Mashujaa Musica?Simba wanajua mpira Yanga ni ndondokela tu