Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Naombea mwaka huu Yanga ichukue ubingwa halafu kule Zambia Nkana naona wachukue halafu wake wakutane mwakani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo post bora ya kimbumbumbu ya kufungia mwaka. Nani aliyekuambia bingwa wa ligi ya Zambia ni lazima akutane na bingwa wa ligi ya Tanzania?! Kuna watu mlikuwa mnambeza Rage ila si mmejionea wenyewe?!
 
Beno hawezi kurudi Yanga...Yanga huwa haibembelezi mchezaji...Yanga iliwahi kufukuza wachezaji wote 28 + na ikaanza upya...huwezi kuwa na mchezaji mamluki na anayeonyesha wazi umamluki wake...meneja wake ni Simba, kwanini Yana wasiamini kuwa meneja wake ndiye aliyemtuma Beno asusie timu kama ndiyo mkakati wa kuihujumu Yanga...Beno akirudi Yanga nitatoka mafichoni kwenda Yanga kuhakikisha uamuzi huo unatenguliwa.....
Tatizo la Mafisi Fc Wanasubiri Yanga adondoshe alama tatu ili wao waziokote na kumfariji mropokaji wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umuhimu wa Beno Kakolanya leo umeonekana. Je, anahitaji kurudi kweli?
Nimeangalia goli tulilofungwa nimegundua Kabwili yuko vizuri isipokuwa anakosa uzoefu. Ile cross alikuwa na nafasi ya kutokea na kupunch ule mpira.
Bado sina imani nae sana japo ni vizuri anavyopata nafasi kila siku atazidi kuimarika. Ila kumpanga huyu kwenye mechi zenye presha kubwa ni kumtafutia lawama zinazoepukika na inaweza kumuondolea kujiamini kabisa.
 
Kama una miaka 36 kma kagere. Goli moja la makambo linarudisha miaka 6 nyuma ikijitazama kwenye kioo unaona bado Mzee kma Okwii unajitathimin.. unakufa
 
Nimeangalia goli tulilofungwa nimegundua Kabwili yuko vizuri isipokuwa anakosa uzoefu. Ile cross alikuwa na nafasi ya kutokea na kupunch ule mpira.
Bado sina imani nae sana japo ni vizuri anavyopata nafasi kila siku atazidi kuimarika. Ila kumpanga huyu kwenye mechi zenye presha kubwa ni kumtafutia lawama zinazoepukika na inaweza kumuondolea kujiamini kabisa.
Ni kweli mkuu lkn kakolanya ni samaki aliyeoza. Kumwacha kwenye tena na samaki wengine kungeleta shida ndani ya tenga zima.
Ni kipondi cha mpito lkn tutavuka tukiwa salama bila kakolanya kama timu hata kama ubingwa hatutachukua
 
Back
Top Bottom