Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Jiandaeni kisaikolojia leo mtakufa kifo kibaya sanaKila la kheri kwa chama langu Yanga iwe jua iwe mvua niko nayo tu. Game ngumu ila najua matokeo tutayapata.
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Ngoja kikokotoo cha Mbeya City kifanye kaziHatuachi kitu huko Mbeya . Wajiandae tu kwa maumivu
Mmetoa kafara tena?
Timu ya wananchi lazima imchape simba leo. Tukutane baada ya mtanangeMashabiki wenzangu wa Mbeya city tukutane hapa, piga vyura hao huko Sokoine.
Hata ikiwa hivyo kipi kikusikitishacho Mkuu......acheni hizo mikia.Mabakuli yatakayopitishwa uwanja wa Sokoine kuchangia Yanga
View attachment 980394
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmetoa kafara tena?
I'm so very sadKila la heri mbeya city
Kama ile ya mashabiki wa Simba kwenda Kitwe?Na kumbuka kuna Kafara ya timu ya wanawake (Yanga Princes) kwa ajali ya gari huko Uvinza
Muoshwa huoshwa! Ha ha ha ha ha
Sent using Jamii Forums mobile app
Bakini nazo MikiaKila a kheri vyuraπππππ
Kama ile ya mashabiki wa Simba kwenda Kitwe?
Mechi za wanawake hazina issue kabisa
Michezo ya kafara haipo Yanga. Hiyo ni kazi yenu Mkuu.