Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Kutoka Uwanja wa Sokoine, Mbeya: Mbeya City vs Yanga SC

Kwa Sasa una furaha uwezi kunielewa
Yanga wako weak Sana defense timu nyingi zinashindwa kutumia nafasi kutokana na Aina ya wachezaji wa Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka strong defence ya nini wakati una aina ya washambuliaji wanaosababisha washambuliaji wa timu pinzani waachane na jukumu lao kushambulia na kurudi nyuma kusaidia mabeki kuzuia!
 
Back
Top Bottom