Si angewapa hata kule Mbeya. Tusitafute sababu.TAKUKURU wammulike kocha wa Tanzania Prison ambaye kwa asilli ni beki wa Zamani wa Yanga, shahidi ni Kimenya. Kwa mahaba yake na Yanga lazima awape point 3 kama alivyofanya ASFC
Kwani umesahau mlienda kucheza Samora Stadium baada ya kumshawishi agomee Uwanja wa Mbeya, kule Iringa mkaenda kubeba point 3 au unadhan hatujui
[emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196]Kwani umesahau mlienda kucheza Samora Stadium baada ya kumshawishi agomee Uwanja wa Mbeya, kule Iringa mkaenda kubeba point 3 au unadhan hatujui
Nchimbi hayupo benchMabadiliko to saif na yikpe ingiza molinga na ditram
Sent from my I phone
Hakika, nao wanahitaji furaha ya ushindi japo ikibidi hata droo ya point mojaMungu ibariki Prison itoe hata droo tu,kwani nao ni timu