OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga haina nidhamu,inapiga ngumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mpuuzi lazima aadhibiwe, hana akiliMorrison alichofanya sio kitendo cha kiungwana. Alistahili red card.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatoa kwa Prison kama ulivyoona hapo.Huyu Refa inawezekana hana kadi mfukoni..
Nadhani ndio maana mpira ulimshinda akawa anasugua huko alikotoka, sio uanamichezo kwa kitendo alichofanya, na bado refa hakuchukua hatua yoyote.Morrison alichofanya sio kitendo cha kiungwana. Alistahili red card.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tff fungia huyu mwehu mechi 3Morrison alichofanya sio kitendo cha kiungwana. Alistahili red card.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Vyura ni Vyura tu hahaha katembea juu ya mpira hadi penati kapaisha juu sijui alitaka kupaa na yeye akatembee juu kwa juu. Daah.Anakosaaaaaaaaaaaa
Hajakosa kwa kushindwa, ila amecheza fair playAnakosaaaaaaaaaaaa
Yaani aliyemleta huyu jamaa ni nyoko...Yipe hata kutuliza mpira hawezi