Kutoka Uwanja wa Taifa Dar, Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison

Kutoka Uwanja wa Taifa Dar, Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison

Kama ilivyo Ada mashabiki wote wa Yanga sc na Tanzania Prison tutakuwa hapa kupata update ya mtanange mkali kabisa utakaopigwa pale uwanja wa Taifa kwenye mida ya saa 1 kamili usiku,

Kabla ya mechi kuanza nini mtazamo na maoni yako kulekea kwenye mtanange huo na Upi utabiri wako,

=====

Full Time: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison


Matokeo Matokeo mengine ya Ligi Kuu Tanzania Bara #VPL ni:

Mwadui 1-1 Namungo,

Mtibwa 0-1 JKT Tanzania,

Biashara United 1-0 Alliance FC,

Singida United 0-1 Ndanda FC,

Ruvu Shooting 1-0 Mbeya City,

Kagera Sugar 2-0 Mbao FC,

Azam 1-2 Coastal Union.

Cc Zero IQ


Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda ziro Kuna team moja umeisahau apo kweny matokeo mengine tunaomba uiweke et
 
Kutembea juu ya mpira leo hatujaona , ila kipaji kingine cha kupiga watu viwiko amefanikiwa kutuonyesha... aah ni fundi kweli..Red kadi tu ndo haikutolewa
TFF inabidi watoe adhabu kali ikibidi afungiwe hata mechi sita kwa kuwapiga wachezaji wawili wa prison tena kwa makusudi akifikiri haonekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi yule chama cha Mapinduzi aliyepata ujiko kufunga goli la kubahatisha kwenye derby ya Kariakoo siku hizi haoni milingoti ya magoli?
 
Morrison ukimwangalia vizr macho unajua tu kua ni mwizi, Angalia alivyopiga kile kiwiko cha wizi, Kweli yule ni jambazi.

Sent using jamaa alikuwa kibaka mzuri tu uko kwao.. tena hatumii silaha kwani ni mcheza kung fu mzuri tu
FB_IMG_15817932210701770.jpg
 
Hii mechi ya Leo nadhani ndo mechi ngumu na bora kwa ligi hii ya msimu huu. Ilikuwa kama fainali
 
Kibongobongo hapa Morrison ni mchezaji mwenye uwezo wa juu sana asee na sioni anayefanana nae. Ila sijapenda kitendo cha kupiga kiwiko mwenzie.
 
Back
Top Bottom