Kamanda ziro Kuna team moja umeisahau apo kweny matokeo mengine tunaomba uiweke etKama ilivyo Ada mashabiki wote wa Yanga sc na Tanzania Prison tutakuwa hapa kupata update ya mtanange mkali kabisa utakaopigwa pale uwanja wa Taifa kwenye mida ya saa 1 kamili usiku,
Kabla ya mechi kuanza nini mtazamo na maoni yako kulekea kwenye mtanange huo na Upi utabiri wako,
=====
Full Time: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison
Matokeo Matokeo mengine ya Ligi Kuu Tanzania Bara #VPL ni:
Mwadui 1-1 Namungo,
Mtibwa 0-1 JKT Tanzania,
Biashara United 1-0 Alliance FC,
Singida United 0-1 Ndanda FC,
Ruvu Shooting 1-0 Mbeya City,
Kagera Sugar 2-0 Mbao FC,
Azam 1-2 Coastal Union.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
TFF inabidi watoe adhabu kali ikibidi afungiwe hata mechi sita kwa kuwapiga wachezaji wawili wa prison tena kwa makusudi akifikiri haonekani.Kutembea juu ya mpira leo hatujaona , ila kipaji kingine cha kupiga watu viwiko amefanikiwa kutuonyesha... aah ni fundi kweli..Red kadi tu ndo haikutolewa
Azam 1-2 Coastal UnionBaada ya hapo wana Mechi na Polisi ugenini.
Alaf wanaenda Tanga kwa Coast Union ambaye leo kamchapa AZAM 2-0.
Huu 2020 ni mwaka wa furaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuwa wanatembea kwenye mpira bado hawajafika kwenye lile ngalawa la pale Jangwani.
Nimekiangalia kile kiwiko kweli ni cha kiufundi,nimeamini sasa hamsingizii kuhusu uwizi wa magariKutembea juu ya mpira leo hatujaona , ila kipaji kingine cha kupiga watu viwiko amefanikiwa kutuonyesha... aah ni fundi kweli..Red kadi tu ndo haikutolewa
Ile penati offside kabisa mpira umezidi goli.Kusema kweli ile penalt nimeangalia highlight ilitakiwa kurudiwa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu alikuwa mpiga ngeta TFF inabidi wamkabidhi kituo cha polisi
Morrison ukimwangalia vizr macho unajua tu kua ni mwizi, Angalia alivyopiga kile kiwiko cha wizi, Kweli yule ni jambazi.
Sent using jamaa alikuwa kibaka mzuri tu uko kwao.. tena hatumii silaha kwani ni mcheza kung fu mzuri tu
Acha kukweza wachezaji wewe jamaa, hata uwezo wa Haruna Niyonzima hana huyu ni mbwembwe tu zinambebaKibongobongo hapa Morrison ni mchezaji mwenye uwezo wa juu sana asee na sioni anayefanana nae. Ila sijapenda kitendo cha kupiga kiwiko mwenzie.