Kutoka Uwanja wa Taifa Dar, Ligi Kuu Tanzania Bara: Yanga 0 - 0 Tanzania Prison

Poleni sana,ile nye kwenye forward yenu Yikkpe na Molinga sio kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante. Tena bora Molinger kuliko huyo Yikpe kwani ni bure kabisa.

Na molinger mwenyewe mechi za kutumia nguvu ka ile ya jana ndio hakuonekana kabisaa. Mana jana toka aingie hamna alichokifanya cha zaidi alifichwa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…