Kutoka Uwanja wa Taifa - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Simba SC 1 - 0 JKT Tanzania

Mr Never Mind

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
287
Reaction score
335
Baada ya kujikusanyia point za kutosha mikoani mnyama anarejea Dar ndani ya uwanja wa uhuru kucheza dhid ya maafande wa JKT TANZANIA

KAA NA MIMI NDANI YA DK TISINI NIKULETEE UPDATES ZA HUU MTANANGE
 

Kikosi cha Simba
Kabumbu limeanza hapa uwanja wa Uhuru DSM. Ni Simba dhidi ya JKT Tanzania ligi kuu Tanzania Bara
 
Ametoka Bocco ameingia Dilunga sub ya mapema kabisa hii
Dk 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…