Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshangaa sana huyu refaVibabu vimetaitiwa leo bila muamala hakuna timu hapo
3point muhimunaona simba wanaamua ku attack
milango bado ni migumu
HahahaRed card moja nasikia ni milion moja
Penalt moja ni milion 2.5
Tuone huyu wa leo atatengeneza sh ngapi
Alikuwa na kadi ya njano toka FH na alishaonywa mara mbili kwa mchezo wake mbaya hii kadi kaipata kwa kumzodoa refaRefa katia kibindoni sh milioni moja,malipo halali ya kitanzania
Huenda na yeye pia aliambiwa akipata red ana laki tano yake safi kwenye halo pesaAlikuwa na kadi ya njano toka FH na alishaonywa mara mbili kwa mchezo wake mbaya hii kadi kaipata kwa kumzodoa refa
Unajua Simba inacheza kila baada ya saa 48?Huenda na yeye pia aliambiwa akipata red ana laki tano yake safi kwenye halo pesa
Ndio maana nilisikia jamaa mmoja akisema hiki nikipindi cha neema kwa marefa...kwma ni mkulima basi kwani vuliUnajua Simba inacheza kila baada ya saa 48?
Una ushahidi nikupeleke PCCB ukatajirike?Ndio maana nilisikia jamaa mmoja akisema hiki nikipindi cha neema kwa marefa...kwma ni mkulima basi kwani vuli