Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Game haijasimama hata sec 30...yani ni mambo ya ajabu sana aisee
Alafu hizo dakika 7 zimeongezwa kufidia muda gani uliopotea!!?? Tunaleta utani sana kwenye mpira.