Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Bado mnooNi upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
HahahahahahahahahhahahahahahahahahNi upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
Ni upuuzi kushabikia Goal lililopatikana katika mazingira ya dhuluma. Mpira wetu bado sana, upuuzi tu.
Ilikuwa ni suala muda tu. Japo tumetesekaKUDADADADEKI...... Dilunga amenyoa mtu.... naona ndala wanasema simba wamenunua na mechi hii.... goooooooooooooo..... sekunde ya mwisho ya mchezo..
saa yako haina majira jombii.Mpira umechezwa dakika 99, Goal limepatikana dakika ya 98 wakati dakika zilizoongezwa ni 7!!!!
OyoooooooooooThis is Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Tumebebwa kama kawaida yetu ila point tatu tushachukuaDuuuh kisa cha kuongeza muda wote huu
Tano wapi zilikuwa tatuDhuruma gani Jana tu Azam na Yanga dakika tano ziliongezwa yan amuachi kulalamika
Basi ulikuwa unasikiliza redioni. Hapa nazungumzia dakika za mchezo zinazooneshwa katika tv.saa yako haina majira jombii.
ndala wangeongea kinyama leo.Ilikuwa ni suala muda tu. Japo tumeteseka
Wewe Kila SikuBado mnoo