Hahahaaa. Kimyaaaaaaaa.Hongereni kagera Sugar..mlistahili mmewanyamazisha wale walioenda na matokeo mfukoni
Afadhali mtaani kumetuliaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwisha habari yaooooo...walidhani hawatafungwa daimaHahahaaa. Kimyaaaaaaaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Hakujua kwamba hakuna aijuaye kesho.Simba ndo klabu ambayo haijafungwa Dunia nzima -Manara
Maneno yote yameisha baada ya simba kubikiriwa
So mmefungwa nyie Mikia sc au hujui..?Ndio nn sasa
Hahahahaa waliambiwa watapata tabu sana hawakusikiausijifanye hujui na wewe...Simba mmechezea kichapo cha mbwa koko [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Ndio hapo sasa.Kwisha habari yaooooo...walidhani hawatafungwa daima
siwaoni hapa kwenye hii thread..nisaidie kuwaita basi[emoji81] [emoji23] [emoji81] [emoji23]Hahaaa. Ndio hapo sasa.
Nawasubiria tu mie sababu hawa ndio wale Simba lia lia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo wamekalia motoHahahahaa waliambiwa watapata tabu sana hawakusikia
Nasikia wanataka kukata rufaaNawasubiria tu mie sababu hawa ndio wale Simba lia lia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nasikia wanaenda FIFA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Magufuli kawatia gundu
Nimewaita nashangaa hawaji.siwaoni hapa kwenye hii thread..nisaidie kuwaita basi[emoji81] [emoji23] [emoji81] [emoji23]
Hahahaha mmepata pakuongeleaKwisha habari yaooooo...walidhani hawatafungwa daima
Mkuu lile dudu washa ni bonge la ndonga biti amekubali yaishe tu ![emoji23][emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]