"UKWERI UTABAKI KUWA UKWERII"
"Nashukuru hakuna timu iliyokwenda FIFA kudai ushindi wa mezani"
"Nawapongeza sana Kagera sugar kwa kuwafunga simba leo,hasa ukizingatia walikua hawajawahi kufungwa hata mechi moja"
"Niwapongeze sana Kagera Sugar kwa kuonyesha mchezo mzuri siku ya leo"
Nimpongeze Msemaji wa Simba Haji Manara japo leo namwona hana raha baada ya kufungwa"
"Mimi sio shabiki wa Simba,ni shabiki wa Taifa Stars"
"Mimi nawaambia ukwerii mimi sina timu,lakini napenda timu za Tanzania zishinde"
"Razima niwaambie ukwerii,kwa mpira huu. Wa leo Simba hamwezi kuchukua kombe la Afurika""
Kinyume na mategemeo ya wanasimba wengi,leo jiwe kawachana vibaya mno!!!
Uwanja mzima kimyaaaa......
Kweli msema kweriii mpenzi wa Mungu..