Striking force ya Taifa Stars ni Headache
Mhh Naskia Kuna Nyogeza Xa Dak3? Ngoja Tusal Tusije Kuwa Wendawazimu Hz Dakika Za Lala Salama
Striking force ya Taifa Stars ni Headache
Hawa naijeria wa wapi?
Umesema ukweli mtupu Jamal Malinzi yeye anasifia uongo tu moyoni anachekelea Mapato ya uwanja na vipi wagawane na wenzake Hana jipya zaidi ya mjuzi wa siasa za mpira za vipi kuongopea Ummah kwamba sasa tuna fundi wapiga wa nyumbani Nani asiejua sie ndio tumepiga Kelele unafikiri anapenda kuwaona ? Yeye na watu wake wanajali Mapato tu sio maendeleo ya timu wala wachezaji.Tukitoa draw Jamal Malinzi atarudi JF kusifia uongozi wake kwamba unafanya mambo mazuri kulazimisha draw Vs Nigeria. Wabongo huwa tunaridhika na madogo tuyapatayo zaidi ya ku-aspire kwa makubwa na mazuri
FULL TIME | Tanzania 0 Nigeria 0
************** END OF UPDATE************
ni kweli, kama hatuipati raha/furaha kutoka taifa stars, itabidi tuitafute nje ya taifa stars. Charles boniface mkwasa apewe uhuru, apewe mahitaji yote muhimu kwake na kwa team, asiingiliwe na yeyote nje ya bench la ufundi, apewe matches za majairibio nje na ndani, na aachiwe jukumu hilo for 3 to 4 yrs, i hope something can happen na sote tukafurahi. Ni determined local coach. Hata ukimuangalia usoni utagundua anamaanisha anachokiongea, ni mkweli na hababaishi. Uamuzi wa kumpa team umechelewa sana, alipaswa kupewa 3 or 4 yrs a go, sasa hivi sote pamoja na mkulu tungekuwa furaha na vicheko tu. Wapi sir/eng. Leodger tenga(mzee wa zombo middle school?
Taifa Stars tumeshinda Draw na Nolywood Stars ndio watavyosema. Leo walikuwa washinde 3-0 papara tu nyingi wakifika Mbele sijui kilichobadilika ni kitu gani @ Jamal Malinzi Pengine atatusaidia vipi Rubaman?Tusubiri kesho vichwa ya habari za magaazeti
Hata mimi kwa mtazamo wangu naona mechi itachezeshwa na refa pale kati. Halafu naona lazima kutakuwa na wachezaji wa Taifa Stars na wa Super Eagles. Na kule majukwaani kutakuwa na watazamaji.