Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

.. bahati yetu walikuja Team B ya Nigeria
 
Tumechezea nafasi nyingi sana,umaakini mdogo kwa wafungaji wetu.
Bytheway,sio mbaya_SAMA GOAL ni habari nyingine.
 
Angalau leo taifa stars wameonyesha kiwango kizuri sana ila ndo ivyo tena ng'ombe wa masikini.....
 
Ingekuwa Tanzania ni gari watu wangeshashuka. Kila sehemu pancha tu. Sielewi kwa nini tumeshindwa kushinda...
 
Kaa kimya popoma wewe, unamuuliza nani sasa?
Siri ya ufungaji bora anayo DEMU wake.

Allahaula,nifa bhana!.
Mashabiki wengine wa YANGA nouma kweli kweli.
Atakuwa amekuelewa kwa uzuri.
Teh teh!.
 
WACHA NIWE WA KWANZA KUWAPONGEZA,
bravo taifa stars.
Kiukweli,
Mkwassa na benchi lote la ufundi wapewe kila linalotakiwa ktk ufundishaji wa mpira wa miguu kwa timu ya taifa pamoja na mkataba wa angalao miaka mi3 na kuendelea NA WASIINGILIWE ktk maamuzi.
Naimani tutabadilika saana na tunawezapata matokeo chanya!.
MATOKEO ni mabaya lakini aheri kuliko kufungwa!.
NI MAONI YANGU TU HAYO!.
 
Vunja kambi tukutane ligi kuu ya stars yamepita
 
Hahahaaaaa mkuu ujue huyo jamaa anataka kuleta ushabiki wake kwenye issue za kitaifa kama hii.
 
Kaa kimya popoma wewe, unamuuliza nani sasa?
Siri ya ufungaji bora anayo DEMU wake.

Allahaula,nifa bhana!.
Mashabiki wengine wa YANGA nouma kweli kweli.
Atakuwa amekuelewa kwa uzuri.
Teh teh!.
 
Tujuzeni nyie mliekuwepo uwanjani ni kweli watu waliruhusiwa kuingia bure? Na je baada ya kuingia walionyesha alama ya vidole viwili vya chadema?
Nafanya tuu utafiti jamani
 
Hakuna mchezaji wa simba aliye cheza dah simba yangu hamna kitu tena
 
Aliingia kipindi cha pili said hamis ndemla na akafufua mashambulizi na kuendelea kupaweka hai pale kati
Labda ndie mchezaji pekee anaestahili kuichezea Taifa Starz kwa sasa, ila wengine watasubiri sana.
 
Back
Top Bottom