Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

Kusikiliza TBC au Uhuru kwenye simu tunein apps na kutizama tumia simu TV live apps.
 
ngasaaa then Haji Mwinyi wanaonana sana na Ulimwengu na Samatta ila Ulimwengu na Haji Mwinyi wanacheza uzuri Muhimu ni Goli sio chenga twawala.
 
Tukicheza bila uoga leo tunashinda mbna tumeshawakamata hawa!!hofu ndo inayo tufungishaga
 
Nina imani tunashinda...Rais wetu anayesubiri kuapishwa Mheshimiwa Edward Lowassa ameishaiombea mema nasi twaamini tunashinda
 
Hawa Super Eagles siku hizi wabadilishe jina tu na kujiita pigeons washakuwa vibonde siku hizi
 
ngasaaa then Haji Mwinyi wanaonana sana na Ulimwengu na Samatta ila Ulimwengu na Haji Mwinyi wanacheza uzuri Muhimu ni Goli sio chenga twawala.

Unaangalizia link gani mkuu ?
 
Daah jaman hata kwenye ile game ya Egypt tz waljtahidi Sana kuhimili mikikimikiki ya mafarao kipindi chote cha kwanza, ila kipindi cha pili milango ikafunguka na kuwa kilio, tafadhali hayo yasitokee Leo hapa nyumbani!
 
kuna radio inatangaza january makamba amewataka tff kufungua milango washabiki waingie gharama atalipa yeye
 
Ka Picha Tafadhal Hat Mashabik T Inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…