Mtani dkk ya 13 bana. πππ au ndio unaombea ifike halftime?
Woyooooooo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]2 - 0 hahahahaaaa....raha sana kuwa shabiki wa Simba.
Vipi tenaTooooobaaaa
Taarifa zinasema saa moja usiku
Sina Dstv ngoja tumuulize adolay kama wanaonyesha?
Hahahaaaa. Kwani haiwezekani Mtani?Na hii mtasema tumenunua
Nimefurahi kukuona Mtani.Nimejaa tele
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka sasa upo online umejifungia jikoni umejifungia unapika dakuTooooobaaaa
Niwache niinjoi mimiHahahaaaa. Kwani haiwezekani Mtani?
Uwanja wako, refa wako na mipira pia ni yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KufwaaaaMakubwaaa. [emoji15]