Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Mtani upo wapi wewe??Nimezipata zote Mtani. Na yale ndio maisha ya soka. Huwezi sema kwamba angemalizia mpira Yanga wakati ipo sehemu ambapo anaeza pata kikubwa zaidi.
Kila la kheri kwake Mtani. Japo kama nawaona mlivyoumia kimoyo moyo kwani mazembe wamewapiga bao la kisigino.
Yani tetesi mpya za toka Jana kuhusu ajibu
Hujazisikia? Haha au ndo umeamua ziba masikio mtani ili zisikufikie.