Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,931
Akili finyu hizi,yanga ilshawahi cheza na aston villa (i stand yo be corrected) ukisema haitatokea tena ndo nn wakati mdhamini wao ni sportpesa na mwakani bafo kutakua na friend game,inagine mwakani aje arsenal na mfano awe amebeba europa..HISTORIA IMEWEKA:
Simba SC Ndiyo Timu Ya Kwanza Tanzania Kucheza na Timu Inayoshirika Ligi ya Sapain (La Liga) na inayoshiriki Champion League.
Mchezaji aliyecheza LA LIGA (Barcelona) na EPL (Man City) ambaye Jesus Navas amekuja Tanzania Kucheza na Simba SC tu, Na haitotokezea tena kucheza na Club yoyote Tanzania isiyokuwa Simba.
Najua Vyura FC watanuna lakini historia ndiyo imeshaandikwa na Haitofutika.
Ushabiki daah..