Nami sion kitu kwakweli..nakuta kumeandikwa CLOSEMkuu bado unaangalia kwa hiyo ya kwanza. Mi inakataa.
Naanza kuuelewa huu usemi Mkuu.Ngoma ya mtoto haikeshi hiyo. 😂😂😂
Mzee uko fasta duu
Nimecheka sana lol.Ila wajameni wazungu wanadharau haaaaaah[emoji23][emoji23][emoji23]hayashangilii yanapenga makamasi..... Inamaana sisi nimakamas lalalalal[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 moja
Wanunua mechi hao.Boda boda FC Shem.
Mkuu unaangalia gameKubaabaakeeeee simbaaa noooooumaaaaaa
Nakusalimia Dada yanguNimecheka sana lol.
Mzungu noma.