Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL kuendelea leo tena uwanja wa Taifa, ambapo Simba SC vinara wa ligi hiyo wakiwakaribisha Tanzania Prisons kutoka mkoani Mbeya.
Vikosi vya timu zote ni hivi hapa
00' Mpira ulianza kwa kila timu kusoma mchezo wa mpinzani, Simba wakitalawa mchezo na Tanzania Prisons wakijaribu kujibu mapigo
15 ' hadi kufikia muda wa dakika hizo matokea Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
35' Goooooaaal goooooaal Simba SC wanaandika bao kupitia kwa John Bocco baada ya kazi mzuri ya Erasto Nyoni
45 ' zinakaribia kwisha kuhitimisha kipindi cha kwanza.
Naam 45' za kipindi cha kwanza zimekamilika ambapo Simba SC wapo mbele ya goli moja, liliowekwa kimiani na John Bocco.
==> Timu zinaingia uwanjani kumalizia kipindi cha pili, je Simba SC wataendeleza rekodi yao kutupoteza mchezo wowote kwa Tanzania Prisons? Kaa nasi usiende mbali
02' Mpira umeanza kwa kasi ambapo Simba wamepata kona tatu ambazo hazikuzaa matunda.
Ni faulo kuelekea lango la Tanzania Prisons, inapigwa lakini inakolewa na mabeki wa Tanzania Prisons
8' Mpeko anakwenda kwa kasi lango la Simba na anafanyiwa faulo. Inapigwa lakini inakolewa
Nurdini wa Tanzania Prisons lakini Aishi Manula anadaka mpira huo
12' Simba SC 1-0 Tanzania Prisons
John Bocco anakwenda lakini anafanyiwa faulo. Ni maeneo hatari sana
Anapiga Okwi goo laaa. Mpira unatoka nje na kuwa Goal Kick
13' Tanzania Prisons wanajaribu kushambulia lango la Simba, lakini Mohamed Hussein anaokoa
Anakwenda jezi namba 3 kwenye lango la Simba, lakini ni Offside
16 ' Mpira ni wakurushwa kuelekea lango la Tanzania Prisons, bado bao ni moja wa yai
Okwi anaigia kwenye box.. Kichuyaaa anapiga lakini golikipa anapangua na kuwa kona ambayo haikuzaa matunda.
Kadi ya Benjamin wa Tanzania Prisons.. Kwa mchezo usikuwa mzuri
Asante Kwasi ameumia na anatoka. Na anaingia James Kotei
Kichuyaaa la la la. Mpira unagonga mwamba hapa baada ya pasi kati yake na Okwi
28' Simba SC 1-0 Tanzania Prisons
Okwiiii, Boccoooo anakwenda kwenye lango la Tanzania Prisons lakini anafanyiwa madhambi, ni penati na kadi nyekundu itatoka kwa Jumanne upande wa Tanzania Prisons
34' Okwi anakwenda kupiga penati ile sikiliza.... Okwiiii Okwiiii Goooooaaal Goooooaaal
40' Mohamed Hussein anakwenda katika benchi na nafasi yake inachukuliwa na Nicholas Gyan
42 'Emmanuel Okwi anakwenda kwenye benchi na nafasi yake inachukuliwa na Mavugo.
Salim Kimenya anakwenda pembeni mwa uwanja, lakini anapoteza Mpira ule
45' Kichuyaaa anapiga lakini, unakwenda nje na kuwa Goal Kick
45 +3 za mchezo huo ambapo Simba wako mbele ya goli mbili dhidi ya Tanzania Prisons
Mavugo anakwenda na Mpira lakini inakuwa kona, inapigwa kona na Kichuyaaa na kutozaa matunda
==> Wakati wowote mpira utaweza kuisha hapa uwanja wa Taifa.
90 ' Naam mpira umekwisha uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Ambapo Simba SC vinara wa ligi hiyo wameibuka na ushindi wa magoli mawili bila majibu dhidi ya Tanzania Prisons. Mabao yakiwekwa kimiani na John Bocco na Emmanuel Okwi
Kwa matokea hayo yanaifikisha Simba alama 58 ikawa ni tofauti ya alama 11 na Yanga yenye mechi mbili mkononi. Hivyo kuendelea kulisaka taji la ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2017 /2018.
Simba SC 2-0 Tanzania Prisons