Kutoka uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League Simba SC Vs Tanzania Prisons

Kutoka uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League Simba SC Vs Tanzania Prisons

Okwi goli 19. Bocco goli 14.. Hii ni kolabo hatarishi kuwahi kutokea VPL..
 
Ushindi ni jadi yetu. Simba yetu. Mwaka wetu, wanasemaje wadau wa upande wa pili?
Wale hawana usemi, Leo wana bahat wapo Ethiopia, nyumban hapalaliki, wanaoumia ni ndugu zao wamwendokas hapakaliki
 
Wale hawana usemi, Leo wana bahat wapo Ethiopia, nyumban hapalaliki, wanaoumia ni ndugu zao wamwendokas hapakaliki
Ha ha walisema eti watatukuta kwenye kinyang'anyiro cha taji na kutupita kwa pointi. Safari hii hawana chao

This is Simba SC
 
Back
Top Bottom