Kutoka uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League Simba SC Vs Tanzania Prisons

Who is next in the list?
Aprili 22 Simba SC dhidi ya Lipuli FC mkoani Iringa.

Aprili 29 Simba SC dhidi ya Yanga uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
 
Okwi goli 19. Bocco goli 14.. Hii ni kolabo hatarishi kuwahi kutokea VPL..
 
Ushindi ni jadi yetu. Simba yetu. Mwaka wetu, wanasemaje wadau wa upande wa pili?
Wale hawana usemi, Leo wana bahat wapo Ethiopia, nyumban hapalaliki, wanaoumia ni ndugu zao wamwendokas hapakaliki
 
Wale hawana usemi, Leo wana bahat wapo Ethiopia, nyumban hapalaliki, wanaoumia ni ndugu zao wamwendokas hapakaliki
Ha ha walisema eti watatukuta kwenye kinyang'anyiro cha taji na kutupita kwa pointi. Safari hii hawana chao

This is Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…