Mara ya kwanza kuiona Simba ilikuwa kwenye mechi ya recorded enzi hizo kwenye video ilikuwa inamenyana na Enyimba ya Nigeria.[emoji15][emoji15] Uwage unajiweka wazi mdogo wangu kwamba na wewe ni shabiki wa Mikia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana siezi toa zawadi yangu kizembe hivyo aisee
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Kabisaaa
Hahaha tulia gongo wazi fcKwa zawadi uliyopewa
Wacha weee!!Mara ya kwanza kuiona Simba ilikuwa kwenye mechi ya recorded enzi hizo kwenye video ilikuwa inamenyana na Enyimba ya Nigeria.
Ndio ilikuwa mara ya kwanza kuangalia mpira kwenye video/luninga, Kaseja alikuwa Fire enzi hizo.
Hadi hapo nilikongeka moyo nikaanza kuifuatilia redioni katika ligi za humu ndani.
Bila shaka nishajiweka wazi Dada yangu.
Mechi hiyo ilipigwa shamba la bibi na Enyimba akafa 2-1, shukran kwa goli la pili la Boni Pawasa....ilikua 2003 hiyo mkuu, hatua ya makundi CCLMara ya kwanza kuiona Simba ilikuwa kwenye mechi ya recorded enzi hizo kwenye video ilikuwa inamenyana na Enyimba ya Nigeria.
Ndio ilikuwa mara ya kwanza kuangalia mpira kwenye video/luninga, Kaseja alikuwa Fire enzi hizo.
Hadi hapo nilikongeka moyo nikaanza kuifuatilia redioni katika ligi za humu ndani.
Bila shaka nishajiweka wazi Dada yangu.
Kweli mkuu umenikumbusha Boniface PawasaMechi hiyo ilipigwa shamba la bibi na Enyimba akafa 2-1, shukran kwa goli la pili la Boni Pawasa....ilikua 2003 hiyo mkuu, hatua ya makundi CCL
Kwa hiyo bado una msimamo wako wa kutogawa zawadi kizembe ama...?[emoji23][emoji23]Wacha weee!!
Wacha nikajifikirie mdogo wangu. 😎Kwa hiyo bado una msimamo wako wa kutogawa zawadi kizembe ama...?[emoji23][emoji23]
Hapo sawa ngoja nikae mkao wa kulaWacha nikajifikirie mdogo wangu. [emoji41]
Kama goli la Kagere unasema ni offside kweli vyura kazi ipoGoli LA offside, msimu tutashuhudia mabao ya ajabu sana, asante waamuzi
Kama goli la Kagere unasema ni offside kweli vyura kazi ipo
Hoja huna mkuu.. hakuna ofsside pale, sema tu hamkosi sababu watani zetuHebu lilinganishe na gori alilofunga Moringa dhidi ya Coast na likakataliwa, kama wewe mjuzi wa soka utajuwa ninachomaanisha.
Lilete hapa hilo goli alilofunga Molinga tulichambueHebu lilinganishe na gori alilofunga Moringa dhidi ya Coast na likakataliwa, kama wewe mjuzi wa soka utajuwa ninachomaanisha.