Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Mara ya kwanza kuiona Simba ilikuwa kwenye mechi ya recorded enzi hizo kwenye video ilikuwa inamenyana na Enyimba ya Nigeria.[emoji15][emoji15] Uwage unajiweka wazi mdogo wangu kwamba na wewe ni shabiki wa Mikia.
Ndio ilikuwa mara ya kwanza kuangalia mpira kwenye video/luninga, Kaseja alikuwa Fire enzi hizo.
Hadi hapo nilikongeka moyo nikaanza kuifuatilia redioni katika ligi za humu ndani.
Bila shaka nishajiweka wazi Dada yangu.