Kutoka Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Azam FC

Kutoka Uwanja wa Taifa: Vodacom Premier League 'VPL' Simba SC Vs Azam FC

Kadi tano za njano zimetolewa katika kipindi cha kwanza, huku simba wakiwa na kadi moja Na azam wakiwa na kadi nne
 
Hii game haitakwisha bila watu kupigana ngumi naona undava undava umetawala sana.
 
Simba na Azam ndio maana zimetolewa kimataifa, hamna chochote wanachocheza zaidi ya kuruka ruka wanalitia aibu taifa
 
Mzamiru Yasin na Hassan Dilunga wapo kwenye ubora wao. Manula anaweza kuwaga cost Simba kwa ujuwaji wake.
 
Simba ni timu mbovu sijui mwaka jana ilifikaje robo fainali klabu bingwa, hawakustahili kabisa
 
Kahata yupo slow apumzike aingie Ajibu na Dilunga apumzike aingie Miraji ili kuongeza pressure mbele..!
 
45' Mchezo umeanza kipindi cha pili..Simba wamefanya mabadiliko

Ametoka Shiboub na ameingia Chama.
 
49'Goooooooooooooooooooaaal gooooooaaal goooooaal...MK 14 Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa baada ya kupata pasi safi kutoka wa Kahata.

Simba SC 1-0 Azam FC
 
Kagere anaipatia simba goli la kwanza, Simba 1-0Azam
 
Goooooooooooooooooooaaal gooooooaaal goooooaal..MK Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa baada ya kupata pasi safi kutoka wa Kahata.

Simba SC 1-0 Azam FC
Kahata, anachakata [emoji16][emoji3]
 
kama kawaida simba wamenunua mechi. simba wanaharibu sana ladha ya soka la tanzania ndio maana Watanzania wanaifuatilia yanga timu ya wananchi
 
Azam FC wanafanya mabadiliko anatoka Djodi anaingia Chilunda uwanja wa Taifa
 
Back
Top Bottom