Kutoka X ukurasa Wa Roma Kuhusu Waziri Katambi.

Kusudi haiambiwi pole kushindwa kwako kumudu gharama za dialysis tatizl zilotokana na pombe hili pia la kumlaumu katambi?

Tujitafakari aisee
Ami kule kwenu zanzibar dialysis ni bure kabisa kwa mgongo wa watanganyika leo watanganyika wanakufa kwa kukosa matibabu unawaona mafala
 
Basi soma vizuri utaelewa
 
Usihangaike nae ni mzanzibar anatetea maslahi ya nyumbani kule dialysis ni bure kabisa kwa mgongo wa watanganyika
 
Mapigwa miti yatapinga alichoandika Roma.
 
Walitaka kuyaona makalio ya Pipytida,ila pipytida alistuka akavaa gauni refu lisilobana maungo na akajipiga na mtandio kichwani.
 
 

Attachments

  • 1788531243077.jpg
    14.2 KB · Views: 3
Mtu aje anieleze vizuri kosa la Uncle T, juma lokole na Noel tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…