Kutokana na dhiki inayowakabili watanzania hata wakiambiwa kuingia Mbinguni ni elfu 20 Watashindwa

Naweza mkubalia kwa upande fulani, nili enda tanga handeni Kuna kijiji maji ni mekundu kudadadeki.

mtoto hajui yebo ni nini, Kuna mpaka zile biscuit za zamani za vinailoni.

I swear uki zaliwa na una uhakika wa milo 3 hiyo ni zaidi ya blessing.
Umesema kweli sana! Nilienda mkuranga huko pwani Kila mtu anapekua, hela ya malapa Hana! Ccm hoyee! Daa deki!
 
Ndio maisha ya watanzania wengi akipata mlo mmoja kwa siku kwake ni bahati kweli kweli.
 
Hahahaha
 
Umaskini wa wananchi ndio furaha ya ccm.
 
Daaaah
 
Elfu Ishirini ni nini ? Hio mentality kuanzia mwanzo ipo kwenye premise potofu...

Cha maana watu wapate Chakula, Malazi na Mavazi as well as peace of mind (Vitu ambavyo hawapati) tukianza ku equate vitu na monetary value naweza kukwambia hio Elfu Ishirini kuonekana ndogo pia ni kwamba uchumi / value for money haipo na kwa mwendo huu huenda akitoa hotuba kama hii ten years from now kwenye elfu kumi atasema laki moja... You need a Vantage point to come with optimal solutions.
 
Hii ni kweli kabisa. Hata Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Antipass Lissu hana gari la kutembelea kutokana na dhiki aliyonayo hadi akaomba achangiwe kununua gari. CCM tulimchangia shilingi milioni tano.
Na inawezekana ndio maana mwaka 2017 alishindwa kwenda "kwa Baba" kwasababu hata hiyo 20,000/= hakuwa nayo kipindi hicho. SO SAD!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…