TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi.
Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda.
SWALI: Wale mnaotumia bando pasipo kuunganisha kifurushi (salio la kawaida) Je, kwa shs 5000 naweza kuingia mtandani na kuitumia kwa muda gani tofauti na kujiunga kwenye kifurushi?