Itumike lugha yoyote tu ILA kwanini wasichaji internet kwa gharama ile ile inayotumika kuchaji kwa bando?Nape yupo sahihi.
Vifurushi ni Sales tactics.
Vigezo na Masharti mkuu.Sales tactics mmmh!
Napewa bure au nalipia na kama nalipia kwa nini nalipia 500mb kwa 1000shs alafu unaondoa kabla sijamaliza kutumia?.
Nape Nnauye ni mtetezi wa wanyonyaji wanao nyonya nguvu kazi za wazawaTunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi.
Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda.
SWALI: Wale mnaotumia bando pasipo kuunganisha kifurushi (salio la kawaida) Je, kwa shs 5000 naweza kuingia mtandani na kuitumia kwa muda gani tofauti na kujiunga kwenye kifurushi?
Kumbukeni Serekali ya kulinda Wanyonge ilisha ondokaga na Mwendazake,Sasa hivi iko Serekali ya kulinda Matajiri/ Wawekezaji! Mwisho wa siku Maisha lazima yaendelee!!Nape Nnauye ni mtetezi wa wanyonyaji wanao nyonya nguvu kazi za wazawa