Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

😂😂Timu wazee 4-Vijana 0,vijana mnatuangusha sana kwa kweli...
 

Mwanamke mwenyewe macho yako juu juu! Halafu anaolewa na Mzee aliye jichokea! Kazi kweli kweli.
 
Kuna umri ukifikia lazima uwe na msaidizi tu, hakuna namna, mfano kusafishwa n.k watoto wanaweza wasifanye hayo yote. Kuoa kwake hakuhepukiki.
 
Mrema hakuvuka stage…pengine hamkuwa mmezaliwa enzi zake

Akiwa Waziri wa Mambo ya ndani na Naibu Waziri Mkuu shughuli ilikuwepo…Mama mmoja anaitwa Mama Mushi ilifikia hatua alivua nguo hadharan uchi wa Mnyama kwny scandel iliyomhusu Lyatonga na picha zikatoka kwny gazeti la Mfanyakazi enzi hizo wakifucha sehemu ya viungo vya uzazi na kufuani baada ya kusaula nguo hadharan kupinga kuchezewa na kutelekezwa na Mwamba huyo wa Siasa miaka hiyo
Ndio maana wanashauri sana wanaume kutovuka stage maishani. Utakuja kuirudia muda ushakutupa mkono.
 
Naiona sinema ya Mengi ikijirudia wachagga kwisha kazii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…