kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kuweni na huruma mnataka akifa mwende mkamsalimie Nani watoto lazima pawe na mjane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa hizi jamani sasa uyu Halima kwa Mzee Mrema si Mjukuu wake kabisa huyu?Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Mwenyekiti wa Tlp Taifa Augostino Mrema ,hatimaye Mkewe Halima amevunja ukimya kuhusu ndoa yake na Mwenyekiti huyo.
Kwamba hana ugomvi na familia yake na watu waache uzushi wa kumzushia kwamba mumewe huyo mtarajiwa amepata upinzani mkubwa kumuoa yeye .
Atajiwahisha mapema sanaaSasa mrema anakata pass ya kwenda kukutana na kiongozi wa malaika,
Dunia ina MACHACHE kwa kweliDunia Ina MENGI
Binti mdogo mweupe mwenye tumacho tuzuri, ila Mrema Viagra zinakwenda kumuua sasa ila sioni hasara yoyote kwa yeye kufa kwa sasaKutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Mwenyekiti wa Tlp Taifa Augostino Mrema ,hatimaye Mkewe Halima amevunja ukimya kuhusu ndoa yake na Mwenyekiti huyo.
Kwamba hana ugomvi na familia yake na watu waache uzushi wa kumzushia kwamba mumewe huyo mtarajiwa amepata upinzani mkubwa kumuoa yeye .
Amesema kuwa,hana mgogoro wowote na mpenzi wake mtarajiwa wananchi wapuuze maneno yanayosambazwa mtandaoni kwamba yeye na mzee wana mgogoro sio kweli,
Bali familia wanaishi nao vizuri na wala hakuna neno na ameshapewa baraka zote amsaidie baba yao.
Halima amesema suala la ndoa yake kufungwa siku ya alhamisi bado ni mapema sana kusema kwani kipindi hiki ni cha kwaresma hivyo muda ukifika watasema jambo lao ni lini lakini kwa sasa hayupo tayari kusema mambo mengi isitoshe yeye sio mwanasiasa .
Mmoja wa watoto wa mzee Mrema ambaye jina limehifadhiwa amesema kuwa , hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi yake vizuri na kama wangeona hayuko sawa wangemshauri kwamba sio jambo jema lakini kuhusu suala la baba yao kufunga ndoa kwa kuoa mwanamke familia imelibariki kwani ni mzee na anahitaji uangalizi wa karibu zaidi.
Mwisho.View attachment 2158939
Hii inahusianeje hapa mkulungwa?Serikali ipige marufuku ARV's kuingizwa nchini, zinasambaza UKIMWI
Ifike mahali hizi dawa zipigwe marufuku tu maana wanaomeza hizo dawa wanaeneza huo ugonjwa kwa maksudi kabisa Arvs ndo sababu ya kuendelea kuwepo kwa huu ugonjwa nchini dawa zililetwa ili watu waendelee kupiga hela lakini sidhani kama ni solutions ya huu ugonjwa Madhara yake ni mabaya kuliko...www.jamiiforums.com
Nakazia
Hakuna ajabu kwa mzee Mrema, na wazee wengine kama yeye, waliofiwa na wake zai na kuamua kuupiga mwingi na kuoa wake wengine katika maisha yao ya uzeeni. Maamuzi kama haya yanatajwa hata katika maandiko matakatifu. Pengine nukuu yenye kumhusu baba wa imani Ibrahimu inaweza kutufikirisha zaidi;Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Mwenyekiti wa Tlp Taifa Augostino Mrema ,hatimaye Mkewe Halima amevunja ukimya kuhusu ndoa yake na Mwenyekiti huyo.
Kwamba hana ugomvi na familia yake na watu waache uzushi wa kumzushia kwamba mumewe huyo mtarajiwa amepata upinzani mkubwa kumuoa yeye .
Amesema kuwa,hana mgogoro wowote na mpenzi wake mtarajiwa wananchi wapuuze maneno yanayosambazwa mtandaoni kwamba yeye na mzee wana mgogoro sio kweli,
Bali familia wanaishi nao vizuri na wala hakuna neno na ameshapewa baraka zote amsaidie baba yao.
Halima amesema suala la ndoa yake kufungwa siku ya alhamisi bado ni mapema sana kusema kwani kipindi hiki ni cha kwaresma hivyo muda ukifika watasema jambo lao ni lini lakini kwa sasa hayupo tayari kusema mambo mengi isitoshe yeye sio mwanasiasa .
Mmoja wa watoto wa mzee Mrema ambaye jina limehifadhiwa amesema kuwa , hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi yake vizuri na kama wangeona hayuko sawa wangemshauri kwamba sio jambo jema lakini kuhusu suala la baba yao kufunga ndoa kwa kuoa mwanamke familia imelibariki kwani ni mzee na anahitaji uangalizi wa karibu zaidi.
Mwisho.View attachment 2158939
Kaka kisimi Cha mwanamke mpk wa 80 kinaitaji kigusweKuna wanawake ngono sio kipaumbele kabisa .yani wao hata wakae mwaka hawana shida..hao ndio hututaka sisi vikongwe
Uliwaona wapi?Kuna wanawake ngono sio kipaumbele kabisa .yani wao hata wakae mwaka hawana shida..hao ndio hututaka sisi vikongwe
Dah!!! Jamaa katupoteza wengi😅😅😅Hahahaaaa...... Nilidhani Mdee!
Kwenye ndoa hakunaga kitu inaitwa ngono isipokuwa Kuna tendo la ndoa.Hivi ndoa bila ngono haiwezekani au ndoa ni suala la ngono tu?
Sema mzee Lyatonga ameamua kutafuta shortcut badala ya kusubiri kifo cha kawaida.KILA BINADAMU MUNGU AMEMPANGIA NJIA YAKE YA SAFARI YA MWISHO.
Umesahau?Kaka kisimi Cha mwanamke mpk wa 80 kinaitaji kiguswe
Yule yupo na demu wake EsterMi nkajua ni yule
Halina mwingine