Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

Dada tumekutumaa ukamzaliee mzee ktk urithi nawe upatee maana ushadanga sana na majamaa wa mereran lkn bado ukutoboa kwa mzee angalu ukimzalia utatoka patumu,tumekuagiza hvyo km familia
Uyo mrema si atatoa mapovu tu, zaidi uyo mkewe atabanduliwa nje na kuleta mimba isiyo ya mrema
 
Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Mwenyekiti wa Tlp Taifa Augostino Mrema ,hatimaye Mkewe Halima amevunja ukimya kuhusu ndoa yake na Mwenyekiti huyo.

Kwamba hana ugomvi na familia yake na watu waache uzushi wa kumzushia kwamba mumewe huyo mtarajiwa amepata upinzani mkubwa kumuoa yeye .

Amesema kuwa,hana mgogoro wowote na mpenzi wake mtarajiwa wananchi wapuuze maneno yanayosambazwa mtandaoni kwamba yeye na mzee wana mgogoro sio kweli,

Bali familia wanaishi nao vizuri na wala hakuna neno na ameshapewa baraka zote amsaidie baba yao.

Halima amesema suala la ndoa yake kufungwa siku ya alhamisi bado ni mapema sana kusema kwani kipindi hiki ni cha kwaresma hivyo muda ukifika watasema jambo lao ni lini lakini kwa sasa hayupo tayari kusema mambo mengi isitoshe yeye sio mwanasiasa .

Mmoja wa watoto wa mzee Mrema ambaye jina limehifadhiwa amesema kuwa , hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi yake vizuri na kama wangeona hayuko sawa wangemshauri kwamba sio jambo jema lakini kuhusu suala la baba yao kufunga ndoa kwa kuoa mwanamke familia imelibariki kwani ni mzee na anahitaji uangalizi wa karibu zaidi.

Dah! Jicho mkoma kama la koboko, mkiangsliana naye, mwanaume lazima ushushe macho!
Mrema kapata binti mrembo sana, angelikuwa ni makamo yake angelifaidi sana.

Lakini kwa utofauti huo wa umri, mmoja atakuwa "bwana" na mwingine "mtwana".
 
Tukimpigia Show Halima wake atavumiliaaa!!?

Halima lazima asuguliwe na huu ndio ukweli

Mrema pumzi ishakata...[emoji16][emoji1][emoji4]
Dhumuni la kuoa ni hilo la kupata mtu wa kumtunza, hilo la kupigiwa unaweza ukawa na afya yako na unapiga show vizuri tu ila bado ukachapiwa hivyo hivyo.
 
anajikutaga mbabe wa shoo kuna kipindi walimuuliza mzee mrema umeshazeeka utastaafu lini?

akawajia juu tena kwa ukali na kujibu; yeye hajazeeka kama wanabisha wamuulize mke wake shoo zake.

Sasa amepata binti, mzee atapigwa shoo mpaka achanganyikiwe.
 
mkuu unamaanisha nini? inamaana mzee anao?

kama anao mbona halima kamkubalia? au hajali kuambukizwa.
 
Ndio maana wanashauri sana wanaume kutovuka stage maishani. Utakuja kuirudia muda ushakutupa mkono.
Huyu aliishi maisha ya kinoko miaka yote Sasa anaanza kukumbuka kula videmu ashakuwa skrepa hii ni shida sana Yani angekuwa dingi yangu angekula stiki huyo demu asisogee kabisa.

Nashukuru mzee wangu baada ya mama kutangulia mbele ya haki alikubali yaishe akaishi zake mpaka Mungu alipomchukua alikuwa anawala tu Ila haoi Wala haleti home.
 
Huyu aliishi maisha ya kinoko miaka yote Sasa anaanza kukumbuka kula videmu ashakuwa skrepa hii ni shida sana Yani angekuwa dingi yangu angekula stiki huyo demu asisogee kabisa.

Nashukuru mzee wangu baada ya mama kutangulia mbele ya haki alikubali yaishe akaishi zake mpaka Mungu alipomchukua alikuwa anawala tu Ila haoi Wala haleti home.
Sasa unaona mzee wako ndio alifanya la maana?
 
Back
Top Bottom