Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

Watu wengi mnamshambulia mrema utadhani anaoa mwanamke wa kugegeda mzee ameshachoka hata kutembea anahitaji usaidizi huyo mwanamke atakuwa wakuwa nae karibu tu maana hakuna wakukaa nae pale nyumbani.
 
Watu wengi mnamshambulia mrema utadhani anaoa mwanamke wa kugegeda mzee ameshachoka hata kutembea anahitaji usaidizi huyo mwanamke atakuwa wakuwa nae karibu tu maana hakuna wakukaa nae pale nyumbani.
We hufahamu maana ya ndoa, bila kipara hiyo sio ndoa. Huyu mzee anafunga ndoa na Wala sio kumfanya mfanyakazi wake!
 
Mengi yamesemwa ila tunawatakia harusi njema na maisha mema ya ndoa. Dada yetu kamtuze sana baba, tunataka baada ya hanimuni kitambi tukione kwa marojorojo na mapochopocho, mpe mahaba ya dhati ...

Wimbo huu ndiyo utawafungulia sherehe hapo ukumbini - Love doesn't ask why ? Hongereni saaana

 
Kuna yule mzee alekuwa mbunge wa zamani kula maswa alioa pisi kali akala mzigo nadhani miezi miwili akaaga the world kiukweli huyu nae ajipange kuiaga
 
Huyu mzee ataumaliza kweli huu mwaka ?Maana kupiga show na afya yenyewe mgogoro mbona atapata tabu sana.
 
Huyu binti ataiweza kasi ya gobore?
Au mzee Mambo ya uvinza anayajua?
Nilimueleza mzee mmoja wa kichaga wakati tunakunywa mbege pale Himo Mambo ya chumvini muda wote alikua anatema mate.
Acheni kutuua mbavu..
 
Halima apate somo la kutosha kwa Jackline wa mzee machache R.I.P.
hawa wazee wanaoa vitoto vidogo wanataka kuacha migogoro wa mirathi tu akuna kingine.
Hahahaha

Wazee ina Maana wanataka kuwachia migogoro watoto

Ova
 
Ni vizuri Mrema na familia yake wakaweka sawa swala la mali za Mrema hasa ile nyumba ya Sinza aliyonunuliwa na wanawake wa TLP.

Kuna migogoro mingine mtu ukiwa na busara za kutosha unaweza kuiepusha familia kabla hujafa.

Issue ya Mengi ni somo tosha kabisa.
Wazee hawakomi naona

Ova
 
anajikutaga mbabe wa shoo kuna kipindi walimuuliza mzee mrema umeshazeeka utastaafu lini?

akawajia juu tena kwa ukali na kujibu; yeye hajazeeka kama wanabisha wamuulize mke wake shoo zake.

Sasa amepata binti, mzee atapigwa shoo mpaka achanganyikiwe.
Naikumbuka kauli yake hiyo tena radioni
 
Back
Top Bottom