Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

waziri2020

Senior Member
Joined
May 31, 2019
Posts
197
Reaction score
468
Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Mwenyekiti wa Tlp Taifa Augostino Mrema ,hatimaye Mkewe Halima amevunja ukimya kuhusu ndoa yake na Mwenyekiti huyo.

Kwamba hana ugomvi na familia yake na watu waache uzushi wa kumzushia kwamba mumewe huyo mtarajiwa amepata upinzani mkubwa kumuoa yeye .

Amesema kuwa,hana mgogoro wowote na mpenzi wake mtarajiwa wananchi wapuuze maneno yanayosambazwa mtandaoni kwamba yeye na mzee wana mgogoro sio kweli,

Bali familia wanaishi nao vizuri na wala hakuna neno na ameshapewa baraka zote amsaidie baba yao.

Halima amesema suala la ndoa yake kufungwa siku ya alhamisi bado ni mapema sana kusema kwani kipindi hiki ni cha kwaresma hivyo muda ukifika watasema jambo lao ni lini lakini kwa sasa hayupo tayari kusema mambo mengi isitoshe yeye sio mwanasiasa .

Mmoja wa watoto wa mzee Mrema ambaye jina limehifadhiwa amesema kuwa , hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi yake vizuri na kama wangeona hayuko sawa wangemshauri kwamba sio jambo jema lakini kuhusu suala la baba yao kufunga ndoa kwa kuoa mwanamke familia imelibariki kwani ni mzee na anahitaji uangalizi wa karibu zaidi.

Mwisho.
IMG-20220321-WA0000.jpg
 
Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Mwenyekiti wa Tlp Taifa Augostino Mrema ,hatimaye Mkwewe Halima amevunja ukimya kuhusu ndoa yake na Mwenyekiti huyo.

Kwamba hana ugomvi na familia yake na watu waache uzushi wa kumzushia kwamba mumewe huyo mtarajiwa amepata upinzani mkubwa kumuoa yeye .

Amesema kuwa,hana mgogoro wowote na mpenzi wake mtarajiwa wananchi wapuuze maneno yanayo sambazwa mtandaoni kwamba yeye na mzee wana mgogoro sio kweli,

Bali familia wanaishi nao vizuri na wala hakuna neno na ameshapewa baraka zote amsaidie baba yao.

Halima amesema swala la ndoa yake kufungwa siku ya alhamisi bado ni mapema sana kusema kwani kipindi hiki ni cha kwaresma hivyo muda ukifika watasema jambo lao ni lini lakini kwa sasa hayupo tayari kusema mambo mengi isitoshe yeye sio mwana siasa .

Mmoja wa watoto wa mzee Mrema ambaye jina limehifadhiwa amesema kuwa , hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi yake vizuri na kama wangeona hayuko sawa wangemshauri kwamba sio jambo jema lakini kuhusu swala la baba yao kufunga ndoa kwa kuoa mwanamke familia imelibariki kwani ni mzee na anahitaji uangalizi wa karibu zaidi.

Mwisho.View attachment 2158939
Mmoja wa watoto wa mzee Mrema ambaye jina limehifadhiwa amesema kuwa , hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi yake vizuri na kama wangeona hayuko sawa wangemshauri kwamba sio jambo jema lakini kuhusu swala la baba yao kufunga ndoa kwa kuoa mwanamke familia imelibariki kwani ni mzee na anahitaji uangalizi wa karibu zaidi…….. Hapa mjiandae kuanzisha kesi kama ile ya Mengi soon.
 
Sasa mrema anakata pass ya kwenda kukutana na kiongozi wa malaika,
Mamndenyi, tatizo litaanzia hapa: Lazima awe na highly reduced erectile function, and therefore he will need some support from Viagra and the like. Hizi dawa zina some side effects kama kupandisha pressure etc. particularly at his age. Sasa huyu atahimili mikikimikiki under viagra influence. Kweli anataka kumsalimia Kiongozi wa malaika
 
Back
Top Bottom