Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Vitu vingine Hadi aibu hafu unakuta eti msomi wa level ya prof kazoea kumeza videsa Ila uzoefu wa diplomasia zero au kazi za management na hii tabia ya kuamini prof, au Dr ndio akili huku wamezoea tu kufundisha with zero experience kwenye kazi nyingine ndio matatizo hayo
Unadhani kwa hiyo akili finyu utakaa umwelewe Profesa??? Labda upewe muda wa kusoma miaka 600 non-stop ndipo unaweza kupapasa kidogo.
 
Viongozi wako wamekuwa wakidai utawala wa sheria, walipaswa kuonesha mfano wa kutii sheria ya uchaguzi bila shurti na siyo kukusanyika Dsm kuanzisha maandamano yasiyo na kikomo, wakitambua kufanya hivyo kungevuruga shughuli za kijamii, kisiasa na kiuchumi....
Hawezi kamwe kukuelewa huyo; kazi yake kuongoja salary slip ya bure
 
ilitakiwa lugha ya kuwapooza mabeberu na siyo kuwafanya hamnazo
kuwapiga mabeberu mkwara mbuzi ni ujuha wa viwango vya juu
mabeberu wanatuhitaji ila tunawahitaji zaidi
siyo vyema kudhihaki wengine na kuwaona hawafai bw prof
 
mbona hatukubaliani na ukweli tunakuwa km Trump?
mgombea Urais kupitia upinzania akiwa kijijini kwake alikubali kabisa kuwa Uchagzi umeenda huru na haki
na hata km hajakubali bado watu wameapishwa asubiri mmiaka 5 tena.
Kabudi ndiye Waziri wa Mambo ya Nje na aliapishwa mapema ili akabiliane na mambo hayo, na amepangua mengi tu, km Corona Balozi wa USA alitamka waTZ wanakufa na kuzikwa wengi, alipangua hoja ya mwandishi aliyepotea Gwanda, alipangua makenikia
sasa leo hawezi ondolewa kupitia mitandao, alichosema kapewa baraka na Boss wake
sisi tungekubaliana ni miaka mitano mbele basi kuliko Mada za kuchokonoa JF tuaonekana vipi kila siku.
dua la mwewe😂😂😂
 
Unadhani kwa hivyo akili finyu utakaa umwelewe Profesa??? Labda upewe muda wa kusoma miaka 600 non-stop ndipo unaweza kupapasa kidogo.
Huyo prof asiyeweza kujieleza kwa kutukana wahisani na kushindwa kujibu hoja, hao hao wapuuzi anaowaita then wanaenda kuomba msaada ka si ukichaa nini?
Warudishe hela za corona walizotumia matumizi yasiyo sahihi
 
Ila kabudi hyo wizara imemshinda uwezo na akili kulikuwa Kuna haja gani kuwaita hao wabunge wa EU wapuuzi wakati EU michango yake kwa taifa ni muhimu, ni Bora hyo wizara ingempata January Makamba naona anafaa ana exposure flani hivi
CCM wote wanafanana,bora hata wangempa huo uwaziri huyo chalii hapo chini.
ElmwDDRUcAAeHkP.jpg
 
Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.

Kama ambavyo sitaki kuamini yule mama aliekuwa boss wa SSRA alifanya maamuzi yale bila baraka za wakubwa, ndivyo ambavyo sitakuwa tayari kuamini Prof. Kabudi kaongea aliyoyaongea bila baraka za wakubwa wake, ila kama alivyopigwa chini yule mama, ndivyo ambavyo hata Prof. Kabudi nae anaweza kupigwa chini.

Kwa sasa ninahakika mzee Baba atakuwa anasoma upepo na akiona unavuma vibaya, basi ni swala la muda tu kabla hatujaona Msigwa akija na Press release ya mtu kutenguliwa ingawa bado anaweza kupewa wizara nyingine baraza kamili litapotangazwa.

Hata hivyo, kwa siku hizi za mwanzo, msishangae Mzee Baba nae akaja na kauli kama za msaidizi wake, ila moto ukiwaka, atageuka na ataanza kwa kumtoa huyo msaidizi wake katika hiyo nafasi.

Kwahiyo hapa tutegemee scenario mbili: moja ni Kabudi kuondolewa kulingana na upepo utavyovuma, na scenario ya pili ni boss wake kuja kupigilia msumari matamshi ya Kabudi na baadae kugeuka na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kumuondoa Kabudi iwapo bwana wakubwa hawa watakuja juu kwani yeye mwenyewe hawezi kujiindoa. Ni swala la muda tu kabla haya hayajatimia.

Yakitokea, hawa MATAGA ambao leo hii wanamshangilia Kabudi, ndio watakuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Baba na kuanza kamponda Kabudi.

Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuluwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.

Time will tell.
aondolewe kwa lipi
 
Huna jambo jingine zuri la kuzungumzia zaidi ya kutafuta makosa ya viongozi ili usikie wakitumbuliwa? Huo mimi binafsi ninauita umasikini wa akili. Wewe ni kiumbe mfu na mzigo kwa Taifa letu. Ningekushauri jichimbie mwenyewe kaburu ujizike.

Lete Story nzuri kuhusu sayansi ya leo ili vijana wetu wasisimue ubongo wao badala ya kuspeculate mambo ya kike ambayo hayana tija. Kwani ulisikia Professor Kabudi ni robotor ambayo ikiwa programed inafanya kazi tu bila kukosea? Kama binadam kwanini asikosee? Kama kweli kuna kosa kwenye hotuba yake ya jana.

Mbali na hayo huyo mtumbuaji wako yeye ni mungu? Naye hafanyi makosa? Usipende ku m-demonize Rais wetu kana kwamba yeye hana soul.
kwa majibu yale ni zaidi ya robot ni kama msukule
 
Hadi aibu hafu Raisi anaamini kuwa na Dr na prof ndio kuwa na akili za utendaji kumbe wao ni kufundisha na utendaji wao wa kazi wanaweza shindwa hata na diploma mwenye uzoefu kwenye management
Ndiyo maana hatufanikiwi tumejaa ubabaishaji tupu
 
Hivi nan amesikia neno "Tanzania haijawahi kushindwa vita.." unga dot na kinachoendelea kusini.

So inaweza kuwa bahati mbaya na kuwaita wahuni???

Muda ni hakim mzur saana.
 
Kabudi ni hamnazo. Amewekwa pale kama mwana diplomasia ili kuweka mambo sawa, yeye anakwenda kupenga makamasi wakati watu wana dine na kuchafua hali ya hewa huku akiharibu appetite za watu.
Miaka hii analeta mambo ya Kigangwe!!!
Ndio kaweka mambo hivyo mkuu
Wewe ulitaka afanyeje😁
 
ilitakiwa lugha ya kuwapooza mabeberu na siyo kuwafanya hamnazo
kuwapiga mabeberu mkwara mbuzi ni ujuha wa viwango vya juu
mabeberu wanatuhitaji ila tunawahitaji zaidi
siyo vyema kudhihaki wengine na kuwaona hawafai bw prof
"Kuwapooza mabeberu"??? Hawana nidhamu hao. Wanadhani Tanzania ni koloni la London & Washington
 
Prof Kabudi ni mtaalamu na bingwa, asiye na mfano katika Taifa hili, kuhusu masuala uliyoyataja. Hivyo basi Mkuu Salary Slip utaomba dua sana na kusubiri zijibiwe bila mafanikio.

Labda umesahau mapema tu, kwamba ulijiaminishi hao viongozi wako, wanasiasa uchwara kwa kuwa hawakusoma nyakati, watashinda katika Uchaguzi Mkuu, matokeo yake wakashindwa vibaya.
Uchwara ni CCM ambao wameulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani huku kutwa kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso kuwapiga risasi wapinzani, Kabudi siyo mtaalam bingwa ni profeselii mjinga mjinga aliyookotwa majalalani ndiyo maana kajitoa fahamu karopoka ujinga kifala fala pasipo kutafakari kabla
 
Ufipa mumegeuka watabili wa hali ya hewa, sio?
Poa, Endeleeni kutabiri.
 
Back
Top Bottom